WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 10 May 2011

LIVERPOOL YAIKANDAMIZA FULLHAM 5-2

Liverpool imeweza kuiadhibu vikali Fullham baada ya kuichapa jumla ya mabao 5-2.
mabao ya Liverpool yalipachikwa na Maxi rodriguez x3 katika dakika za 1' , 7' , 70,Kuyt dakika ya 16', Suarez 75'.
huku mbao y Fullham yakifungwa na Dembélé 57' na sidwell 86'.


Wakati huohuo Juventus ya Italia imetoka sare na timu ya Chievo kwa fungungana mabao 2-2.
mabao ya Juventus yalifungwa na Del Piero 13' kwa njia ya penalti na bao la pili lilifungwa na Matri dakika ya 55'.
mabao ya Chievo yalifungwa na Uribe 68'na Sardo 69'.