WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

MANCHESER UNITED 2-1 CHELSEA

Manchester United leo imejiwka katika hatua nzuri ya kutwaa ubingwa wa Premier League baada ya kuifunga Chelsea mabao 2-1 katika mechi ngumu iliyofanyika katika uwanja wa Old Traford.

bao la haraka lililofungwa katika dakika ya kwanza na Hernandez Chicharito lilianza kulifanya pambano hilo kuwa gumu zaidi kwa upande wa Chelsea ambapo Manchester United iliongeza bao la pili lililofungwa na Vidic katika dakika ya 23' ambapo Chelsea walifunga bao la pekee katika dakika ya 69' bao lililofungwa na Frank Lampard.