WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 14 May 2011

MANCHESTER CITY MABINGWA FA CUPManchester city leo imetwaa ubingwa wa F.A cup katika uwanja wa Wembley.

Huo ni ubingwa wa kwanza katika historia katika miaka 35 iliyopita.

bao lililofungwa na mchezaji wao wa Kiungo Yaya Toure katika dakika ya 74'.

Tokea mwaka 1976 ilikuwa ikisubiri kutwaa ubingwa ambapo kutokana na mmiliki wa timu hio kusajili wachezaji wengi wenye viwango vikubwa katika soka barani ulaya leo wameanza kutwaa ubingwa wa kwanza katika klabu hio na kuwafanya kuwa wachezaji wa kwanza kuweka historia katika klabu hio na pengine historia nyingi kufatia zaidi hapo miaka ijayo.
kutokana na ushindi huo Mji wa Manchester leo utakuwa ni mji wenye furaha kuliko miji yote ya ulaya baada hapo mapema manchester United kutwaa ubingwa wa Uingereza na kuweka historia mpya hivyo kutokana na wapenzi wa soka wa mji wa manchester kuwanyika katika makundi mawili leo watajikuta kila mmoja akishangilia na akiwa na furaha zaidi ya mwenzake kwa malengo tofauti.