WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 6 May 2011

MANCHESTER UNITED V/S CHELSEA "FINAL"? "BIG GAME"?

Chelsea na Manchester United zote mbili zina nafasi nzuri ya kutwaa ubingwa wa Primier League ya England wakati zitakapokuna siku ya jumapili.
Ushindi kwa timu yeyote kati yao itaweza kutoa nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa wa ligi hio,huku kufungwa kwa moja ya timu hizo pengine itakuwa ndio sababu ya kupoteza nafasi ya kutwaa ubingwa huo ambapo kocha wa timu ya manchester united Sir Alex Ferguson ameiita mechi hio kuwa "Big Game" huku Carlo Ancelotti wa Chelsea alisema kuwa pambano hilo ni "final".
majibu ya mpambano huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka duniani yatapatikana siku ya jumapili mara baada ya kumalizika kwa dakika 90 za pambano hilo litakalofanyika katika uwanja wa old trafford.