WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 9 May 2011

MFANYAKAZI APOROMOKA KILELENI UERO 2012

Mfanyakazi mmoja mjini Warsaw Poland leo jumatatu aliporomoka kutoka juu ya paa la uwanja mkubwa unaoendelea kujengwa kwaajili ya michuano ya soka ya Bara la Ulaya ya mwaka 2012 na kufariki ghafla mara alipotua chini.

Kijana huyo wa kiume mwenye umri wa miaka 20 alipachuka kutoka katika paa hilo lenye urefu karibu futi 100 na kafariki wakati akiwa wa ujenzi uwanja wa Taifa wa Poland ambao pambano la ufunguzi wa michuano hio mikubwa ya barani ulaya itafanyika.

Polisi wanaendelea na uchunguzi wa ajali hio wakati mwaka uliopita watu wawili walifariki baada ya winji kukatika urefu wa futi 50 na kwenda moja kwa moja sakafuni.