WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 6 May 2011

MOURINHO AFUNGIWA MECHI 5 ZA EUFA.

Kocha wa timu ya Real Madrid ya Spain José Morinho amefungiwa mechi 5 asikae katika benchi la timu hio kutokana na kitendo chake cha kutoonyesha heshima dhidi ya wasimamizi wa pambano la awali la champions league kati ya timu yake ya Real Madrid na Barçelona ambapo Real Madrid ilifungwa mabao 2-0 katika pambano lililofanyika katika wa Santiago Bernabéu ambapo Morinho aliondolewa katika benchi.Mechi yake ya kwanza ya adhabu hio ilianza rasmi wakati wa pambano la marejeano na mahasimu wao Barçelona katika uwanja wa Camp nou ambapo mechi hio ilimalizikwa kwa kutoka sare ya mabao 1-1.

Aidha Morinho msimu uliopita alipewa faini na bodi hio ya uefa jumla ya 50,000 euros wakati alipokuwa na Inter Milan kutokana na tabia ya utovu wa Nidhamu.