WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 29 May 2011

NIGERIA U23 KUCHEZA NA COSTA RICA KUJITAYARISHA NA TANZANIA U23

Timu ya soka ya vijana chini ya miaka 23 ya Nigeria ambao wanatarajiwa kukwaana na timu ya Taifa ya U23 ya Tanzania kuanzia tarehe kati ya 3-5 mwezi june iko katika mazoezi makali wakati itakapocheza na timu ya Taifa ya costa rica leo pambano litakalochezwa mjini San jose-costa rica leo.
Nigeria ambao watakuwepo Dar es Salaam hivi karibuni katika pambano la awali la kuwania tiketi ya kwenda katika fainali za London Olympic zitakazofanyia nchini Uingereza mwakani wamekuwa katika mazoezi makali ya kujiandaa na pambano hilo la Dae es Salaam ambapo mechi hio ya leo itakuwa ni kipimo kizuri kwa wachezaji wao kabla ya kupambana na Tanzania wiki chache zijazo.