WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

OLYMPIC LYON 3-2 OLYMPIC MARSEILLE

Katika pambano kali kati ya mahasimu wawili wa France Olympic Lyon na Olympic Marseille lilmalizika huku Lyon ikitoka kiwanjani na ushindi wa mabao 3-2 pambano lilokuwa na mashambulizi makali kwa pande zote mbili dakika zote za pambano hilo.

Lisandro Lopez aliifungia Lyon bao la kuongoza kwa njia ya penalti katika dakika ya 25' Delgado aliongeza bao la pili kwa Lyona dakika 69' dakika moja baadae Marseille iliweza kupachika bao la kwanza katika dakika ya 70' Rémy aliongezea Marseille bao la kusawazisha katika dakika ya 78.
Lyon waliongeza bao katika dakika ya 84 bao lililofungwa na captain wao Cris na kuifanya Olympic Lyon kuibuka na ushindi na kuifanya kufufua matumaini ya kutwaa ubingwa wa ufaransa