WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 16 May 2011

OLYMPIC MARCEILLE YAPOTEZA NAFASI YA UBINGWA

Timu ya Olympic Marceille imetoka sare mabao 2-2 na timu ya F.C Lorient na hivyo kuifanya timu hio kutoka katika mji wa Marceille kupoteza nafasi ya kutetea bingwa wake.katika pambano hilo mabao ya Lorient yalifungwa na Kone katika dakika ya 47',na Gameiro katika dakika ya 79', wakati yale ya Olympique Marceille yalifungwa na Rémmy 14',na Gignac 88'.
Sre hio imeifanya Marceille kuwa na point 66 kutokana na mechi 36 ilizocheza huku Lille inayoongoza ligi hio kuwa na point 69 kutokana na mechi 35 walizocheza ambapo Marceille imebakisha mechi 2 na Lille kubakisha mechi 3 kumalizika kwa ligi ya France.

matokeo mengine:
Arles Avignon 1-0 tourlose
Caen 2-0 Montepellier
As Monaco 1-1 Rc Lens
As Nancy 3-0 OGC Nice
Saint-Etienne 1-2 Rennes
Valenciannes 1-1 AJ Auxerre