WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

ORANGE CHAMPIONS LEAGUE 2011

Fujo zilisababisha pambano la soka kati ya Club Africain ya Tunisia na Al Hilal ya sudan jana baada mashabiki wa Club Africain kuingia uwanjani dakika chache kabla ya kumalizika pambano hilo baada kuwa sare ya 1-1.
katika pambano la awali Al Hilal iliifunga timu hio kutoka tunisia ambapo hadi kuvunjika kwa pambano hilo matokeo yalikuwa Al Hilal 2-1 Club Africain.

Bodi ya soka barani Africa CAF inakutana kujadili suala hilo la utovu wa nidhamu lakini inaelekea Al Hilal ya Sudan itasonga mbele katika michuano hio.

Katika Pambano jingine lililofanyika jana Coton Sports de Garoua iliitundika E.S De Setif jmla ya mabao 4-1.