WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 6 May 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUONGEZA HABARI ZA SOKA KIMATAIFA

KITUO CHA SOKA CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA NCHINI CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KITAANZA KUTOA HABARI ZA SOKA ZA KIMATAIFA ILI KUWEZA KUONGEZA UBORA WA UPATIKANAJI WA HABARI HIZO NCHINI PAMOJA NA NJE YA NCHI ,
TOKEA KUANZISHWA KWA BLOG HII INAYOMILIKIWA NA KITUO CHA O.F.A KIMEKUWA KIKITOA HABARI ZA KITUO CHAKE PAMOJA NA HABARI ZA TIMU ZA TAIFA NCHINI AMBAPO UONGOZI WA KITUO HICHO UMEONA NI VIZURI SASA KITUMIA BLOG YETU KWAAJILI YA KUTOA HABARI ZAIDI ZA SOKA DUNIANI AMBAPO KILA MARA ZITAKUWA ZIKIPATIKANA KUPITIA KATIBA BLOG HII PAMOJA NA ZILE ZINAZOHUSU ACADEMY YETU PAMOJA NA TIMU ZA TAIFA.

LENGO NI KUKIFANYA KITUO CHETU KUTOA MCHANGO MKUBWA KATIKA KUTOA HABARI ZA SOKA DUNIANI NA KUZIDISHA UBORA WA BLOG YETU KWA UJUMLA.
.................................................................