WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

RAJA CASABLANCA YATINGA HATUA YA MAKUNDIMabingwa wa zamani wa bara la Africa Raja Casablanca ya Morocco imeingia katika hatua ya makundi ya champion League baada ya kuifunga timu ya Asec ya Ivory Coast jumla ya mabao 5-4 yaliyoamuliwa kwa njia ya penalti baada ya matokeo ya kawaida kufungana bao 1-1.


kinyume na sheria ya bao la ugenini kutumika kutokana na kutochezwa pambano la awali nchini ivory coast Asec walikuwa wa kwanza kupachika bao katika dakika ya 57 bao lililofungwa na Adama Bakayoko ambapo ba hilo liliamsha moto wa mashambulizi kwa upande wa Raja Casablanca ambao waliweza kusawazisha bao hilo katika dakika ya mwisho ya pambano hilo bao lililofungwa na Mohsine Moutouali kwa njia ya Penalti katika dakika dakika ya 90.

katika pambano jingine la Champions League timu ya Mouloudia Alger imevuuka katika hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 3-2 baada ya kuiondoa katika michuano hi timu ya Inter Clube ya Angola.