WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

REAL MADRID YAICHABANGA ALMERÍA 8-1

Real Madrid imemaliza ligi ya spain kwa Kuichakaza Almeria jumla ya mabao 8-1,
katika pambano hilo ambalo Madrid walicheza vizuri walianza kuhesabu bao la kwanza katika dakika ya 4' bao lilofungwa na Christiano Ronaldo,bao la pili lilifungwa na Adebayor katika dakika ya 31',almeria ilijipatia bao lake la pekee katika ya 33' ambalo ilionekana kutafuta bao la kusawazisha lakini ilikuwa ni Madrid waliondelea kupachika mabao katika kila dakika zilipoongezeka,
mabao mengine ya Real yalifungwa na Benzema x2 48',63',Adebayor aliongeza mabao mengine mawili 52',73'hivyo kufunga mabao matatu usiku wa leo,Ronaldo aliongeza bao lake la pili katika dakika ya 77' hivyo kumfanya kuweka rekodi mpya ya ufungaji katika historia ya ligi ya Spain La Liga kwa kufunga jumla ya mabao 40 katika msimu mmoja.
Joselu kinda aliepandishwa na Real Madrid alikamilisha karamu ya magoli baada ya kuweka kimiani bao la kuunganisha kutokana na pasi safi ya Ronaldo.