WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 9 May 2011

REAL MADRID YAMSAJILI KIUNGO NURI SAHIN

Mchezaji wa Kiungo wa Mabingwa wa Ujerumani Borussia Dortmund Nuri Sahin leo ametangazwa rasmi kujiunga a Real Madrid ya Spain kwa ada ya Euros million 10.


Kiungo huyo akiwa na umri wa miaka 22 alizaliwa tarehe 5 sept 1988 'L├╝denscheid-ujerumani ambapo alikuwa ni kinara alieiongoza timu yake ya Dortmund kutwaa ubingwa wa Ujerumani msimu,


Akiwa na umri wa miaka 17 alichaguliwa kuchezea timu ya taifa ya U17 ya Turkey katika mashindano ya Europan U17 ambapo alichaguliwa kuwa mchezaji bora wa mashindano hayo.


akiwa na umri wa miaka 17 Sahin alichaguliwa kuiwakilisha timu ya taifa ya Turkey ya U17 ambapo nchi yake ilitolewa katika nusu fainali huku Sahin akiwa ni mmoja kati ya wachezaji bora 3 wa mashindano hayo huku akiwa mfungaji bora wa pili wa mashindano hayo.


Msimu wa 2007/2008 Sahin alichukuliwa na timu ya Feyanoord ya Rotterdam Holland wakati humo mwalimu watimu ya Taifa ya Holland Bert Van Marwijk akiwa kocha wa timu hio ya Feyanoord ambapo Sahin aliweza kukuza kiwango chake haraka na kuwa mmoja wa wachezaji nyota wa kiungo wa ulaya hali iliyopelekea Borussia Dortmund ambapo alichezea hadi leo alipojiunga na Real Madrid.

Sahin amekuwa akiripotiwa na vyombo vya habari vya ulaya kuwa ni mmoja kati ya viungo bora wa umri wake barani ulaya hivi sasa.