WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 May 2011

RONALDO AWEKA REKODI YA UFUNGAJI LA LIGA

Christiano Ronaldo jana aliweka rekodi ya ufungaji wa mabao mengi zaidi ktika historia ya ligi ya Spain kwa msimu mmoja.
Mshambuliaji huyo mwenye kasi na nguvu jana alimaliza msimu wa ligi kwa kufunga mabao 2 ambapo alifanya idadi hiyo kuwa jumla ya mabao aliyofunga kuwa 40 mabao ambayo hayajawahi kukungwa na mchezaji yeyote huko nyuma.

orodha ya wafungaji wa La liga msimu huu ni kama hivi.
Ronaldo Real Madrid 40.
Messi Barcelona 31
Agueiro Athletico Madrid 20
Negredo Sevilla 20
Llorente Athletico Bilbao 18
Villa Barcelona 18
Soldado Vallencia 18
Rossi Villareal 18
Benzema Real Madrid 14
Rondon Málaga 14.