WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 6 May 2011

STARS VS BAFANA BAFANA MECHI YASOGEZWA MBELELile Pambano lililokuwa likisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini kati ya Tanzania na South Africa sasa pambano hilo limesogezwa mbele hadi tarehe 28 may 2011 habari kutoka katika chama cha soka cha south Africa S.A.F.A zimeripoti.


pambano hilo ambalo awali lilikuwa lifanyike siku ya tarehe 14 may 2011 sasa litafanyika wiki mbili baadae kwaajili ya kuzipatia timu zote mbili mazoezi mazuri tayari kwa mipambano yao kuwania ticket ya Africa Cup of Nation 2012 hatua ya makundi.


huku Tanzania ikiwa na safari ya Jamhuri ya Afrika ya Kati ,Bafana Bafana watakuwa na kibarua kikubwa wakati itakapokuwa mjini cairo kupambana na timu ya taifa ya Egypty kama ambavyo wanajiita "maferauni" ambao ni mabingwa wa bara la Afrika kwa mara mbili mfululizo.


kwa mujibu wa chama cha soka cha South Afrika kubadilika kwa tarehe za mechi hio ya kirafiki kutazisaidia timu hizo kujiweka katika nafasi nzuri kimazoezi kwaajili ya mapambano yao muhimu ambapo nchi zote mbili zitakuwa ugenini kati ya tarehe 3,4,5 mwezi wa juni 2011.