WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

TAIWO AKAMILISHA USAJILI AC MILAN

Beki wa kushoto wa timu ya Taifa ya Nigeria na Olympic Marseille ya france Taye Taiwo amekamilisha usajili kujiunga na timu ya Ac Milan ya Italia kwa mkataba wa miaka 3,Taiwo ambae mkataba wake na OL Marseille unamalizika baada ya mechi ya mwisho ya ligi ya Ufaransa amekataa kuongeza mkataba mpya na timu hio ya ufaransa na hivyo kujiunga na Milan akiwa mchezaji huru.