WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 8 May 2011

TP MAZEMBE YAINGIA HATUA YA MAKUNDI CL

Mabingwa wa soka Barani Afrika TP Mazembe ya Jamhuri ya Kongo iliingia hatua ya makundi baada ya kuifunga Widad Casablanca mabao 2-0 katika pambano la marejeano la Champions League lililofanyika mjini Lubumbashi.

mabao ya mabingwa yalifungwa na Patou Kabango kwa shuti kali la mbali katika dakika ya 75' na Benza Bedi alifunga bao muhimu katika dakika za majeruhi na kuwafanya mabingwa hao wa Afrika ambao nyota wa Tanzania Mbwana Samatta anachezea kutinga hatua hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 2-1 baada ya kufungwa bao 1-0 katika pambano lao la awali mjini Casablaca.