WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

TURKISH SUPER LIG

Timu ya buyuksehir Balad jana ilishindwa kuutumia uwanja wake wa nyumbani mjini Istanbul baada ya kutoka sare 0-0 na timu ya Manisaspor.
Wakati Buyuksehir Balad wakipoteza point 3 muhimu za pambano hilo miamba ya soka ya soka pia kutoka mji wa Istanbul Galatasary iliifunga timu ya Konyaspor 2-0.
mabao ya Galatasary yalipachikwa na Kazim katika dakika 11', na culio dakika ya 15'.