WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

U16 YATOKA SARE 0-0 NA KUINGIA HATUA YA 2

Oranje Football Academy U16 jioni hii imetoka sare ya bila kufungana na timu ya Real Shangani katika pambano kali lililofanyika katika kiwanja cha Mafunzo ziwani.
kutokana na matokeo hayo U16 wameingia katika hatua ya pili ya 9 bora.

Katika matokeo mengine ya wiki hii U20 pia imeingia katika hatua ya kucheza 8 bora za kumtafuta bingwa wa ligi ya vijana walio chini ya umri wa miaka 20 huku U20 Oranje football academy wakiwa na mechi 2 mkononi kukamilisha ratiba hio ya hatua ya awali.