Oranje Football Academy U20 juzi ilifungwa bao 1-0 dhidi ya timu ya New Stars katika pambano la ligi inayoendelea.
Katika pambano hilo lililokuwa zuri na la kuvuia lilitawaliwa vipindi vyote viwili na vijana wa Oranje Football Academy lakini ilikupoteza nafasi nyingi za kufunga na kuibuka na ushindi mnono katika pambano hilo.