WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 21 May 2011

U20 ORANJE FOOTBALL ACADEMY YATINGA ROBO FAINALIOranje Football Academy U20 jana iliingingia katika robo fainali ya michuano ya soko kombe la Mazingira baada ya kuichapa timu ya Msumbiji F.c jumla ya mabao 2-0.
katika pambano hilo ambalo lilihudhuriwa na mgeni rasmi Naibu katibu mkuu ofisi ya kwanza ya rais mh Islam seif lilichezwa katika kiwanja cha mao tse tung ambapo Naibu katibu huyo aliifungua rasmi michuani hio.

Mabao ya O.F.A yalipachikwa wavuni na mshambuliaji wake hatari Seif Abdalla "karihe"

Michuano hio inachezwa kwa njia ya mtoano ambapo ilianza rasmi jana asubuhi katika kiwanja cha mao tse tung na kufikia kilele chake siku ya Mazingira duniani.

Kutokana na matokeo hayo Onje Football Academy imeingia robo fainali ya michuano hio ambapo siku ya tarehe 28-05-2011 itapambana na mshindi kati ya Leeds na Benfica.