WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 28 May 2011

U20 YAINGIA NUSU FAINALI KOMBE LA MAZINGIRA

Oranje Football Academy U20 leo wameingia katika hatua ya nusu fainali ya kombe la Mazingira baada ya kuifunga timu ya Leeds United jumla ya mabao 3-1 katika pambano lililofanyika katika kiwanja cha Mao Tse Tung.
Katika pambano hilo U20 walicheza vizuri na kujipatia mabao hayo kuipitia kwa mshambuliaji wake hatari anaetisha katika ufungaji Seif Abdalla "karihe"x2 na Yunus Benard.
Kutokana na matokeo hayo sasa U20 inasubiri kujua itapambana na timu gani katika nusu fainali hio itakayochezwa siku ya alhamis 02-06-2011 ambapo robo fainali ya pili itachezwa kesho kati ya Kwahani vs Sporting mechi itakayofanyika katika uwanja wa Mao Tse Tung.