WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 May 2011

VICTORIA PLZEN BINGWA CZECH REPUBLIC

Kwa mara ya kwanza katika soka ya nchini Czech Republic timu ya Plzen imetwaa ubingwa wa nchi hio kwa kuifunga timu ya Banik Ostrava mabao 3-1.

Katika ligi ya Bulgaria timu ya Litex Lovech imetwaa ubingwa wa nchi hio kwa mara a pili mfululizo hivyo kuendeleza kasi ya kuwa moja timu ngumu nchini Bulgaria baada ya kufanya usajili wa wachezaji wenye viwango vikubwa kulinganisha na miaka ya nyuma.