WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 22 May 2011

WEST HAM UNITED,BIRMINGHAM,BLACKPOOL ZASHUKA DARAJA.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika soka ya uingereza timu tatu zimepatikana hatimae kushuka daraja la Championship msimu ujao.
zikiwa ni timu sita zilizokuwa katika nafasi mbaya ya kushuka daraja Blackburn Rovers,Wolverhampton Wanderers,Birmingham,Wigan Athletics,Blackpool,Westham united ambao tayari walikwisha shuka daraja,
Mabadiliko ya timu kupanda juu na kushuka ilikuwa ni kwa muda wa mapambano yote ya leo ikitegemea ni timu ipi inafunga bao au kufungwa lakini ilikuwa ni hadi mwisho wa mapambano hayo yaliyoweza kutoa timu zote tatu ambazo zimeyaaga rasmi mashindano ya Barclay's Primier League na kushuka katika Championship msimu ujao.Birmingham,Wigan,na Westham united zitashiriki msimu ujao katika daraja hilo na kujaribu nafasi upya za kurejea tena katika Premier league daraja ambalo ni gumu sana hasa ukilinganisha timu nyingi zilizokuwa zikiwika miaka ya nyuma baadae kushika daraja hilo na kutorejea tena juu.
matokeo ya mechi za leo ya primier league ni kama ifuatavyo.

Manchester United 4-2 blackpool
fulham 2-2 arsenal
Aston villa 1-0 Liverpool
Tottenham 2-1 Birmingham City
Wolverhampton 2-3 Blackbun Rovers
stock City 0-1 Wigan Ethlatic
Newcastel United 3- West Bromwich Albion
Bolton Wanderers 0-2 Manchester City
West Ham United 0-3 sunderland.
Everton 1-0 Chelsea