WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 29 May 2011

WYDAD CASABLANCA YAIFUNGA SIMBA 3-0

Timu ya Wydad Casablanca ya Morocco leo imefunga timu ya Simba ya Tanzania mabao 3-0 na kuingia katika hatua ya timu Nane bora katika kuwania ubingwa wa Caf Champions League.
Katika pambano hilo lililofanyika mjini Cairo Egypt mabao ya Waydad yalifungwa na Ayoub el Khaliqi,Fabrice Nguessi na Mouhcine Lajour.

Katika hatua ya Makundi ambapo Wydad Casablanca imeingia katika kundi B sasa itatwangana na Al Ahli ya Misri, MC Algers na miamba mingine ya Africa Esperance ya Tunisia ambapo huenda ikawa ndio kundi gumu kuliko kundi A ambalo lina timu za Raja Casablanca,Enyimba ya Nigeria,Al Hilal ya Sudan na Coton Sport ya Cameroon.

Simba ya Tanzania sasa itatupa karata yake nyingine katika Confederation cup tarehe ambayo itatolewa hapo baadae.