WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 29 May 2011

ZIDANE DIRECTOR MPYA REAL MADRID

Zenedine Zidane nyota wa zamani wa Real Madrid na France amechaguliwa kuwa Director mpya wa timu ya Real Madrid baada timu hio inayoshikilia recodi ya mara 9 kutwaa ubingwa wa bara la ulaya kumtukuza kazi Derector wake Gorge Valdano ambae amekuwepo na klabu hio kwa zaidi ya miaka 27,
Uamuzi wa kumuachisha kazi Valdono ulitolea tarehe 25 june ili kuiwezesha klabu hio kurejea katika hadhi yake ya zamani kutokana na kuonekana valdono kuwa kikwazo kikubwa kwa makocha wanaoifundisha timu hio pamoja na kutotoa ushirikiano kati yao na viongozi wa juu wa klabu hio,
Valdano alikuwa na ugomvi mkali tokea alipotua mourinho katika klabu hio na kumfanya kocha huyo kuwa na wakati mgumu tokea alipoichukua timu hio msimu huu hadi pale mwenyekiti wa timu hio Fiorentino Perez alipomteua zidane kuwa mshauri wa Mourinho na muunganishaji wa masuala yote kati yake na kocha huyo hali iliyopelekea Mourinho kuonyesha uwezo mkubwa wa kutaka kuirejesha timu hio katika hadhi yake iliyopotea miaka ya karibuni.
Katika mabishano makali kati ya Valdano na Mourinho ambapo kocha huyo alikuwa yupo njiani kuiwacha timu hio mara baada ya kumalizika kwa msimu huu ambapo alinakiliwa akisema" au yeye aundoke,Valdano abakie,au Valdano aondoke yeye abakie,lakini hatoweza kuwepo hapo kufanya kazi na Valdano msimu ujao".