WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 4 June 2011

ENGLAND YATOKA SARE NA SWITZALAND 2-2

England imetoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Switzaland katika pambano la kuwanania nafasi ya kucheza Euro 2012 pambano lililofanyika katika uwanja wa Wembley.
katika pambano hilo England ilijipatia mabao yake kupitia kwa Lampard katika dakika ya 37' bao alilofunga kwa njia ya penalti na Ashley Young katika dakika ya 51' mabao yote ya Swutzaland yalifungwa na Barnetta katika dakika za 32'na 35'.
katika matokeo mengine ya michuano hio
Russia 3-1 Armenia
Latvia 1-2 Israel
Slovakia 1-0 Andora
Greece 3-1 Malta
Montenegro 1-1 Bulgaria
Portugal 1-0 Norway
Iceland 0-2 Denmark
Macedonia 0-2 Republic of Ireland.