WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 4 June 2011

MANNSCHAFT YAPAPATUA NA KUSHINDA EURO 2012

Timu ya Taifa ya Ujerumani " mannschaft" jana ilikwabwa koo na timu ya Taifa ya Ausria hadi dakika zote za mchezo ambapo Ujerumani ilipachika bao la ushindi katika dakika ya 90' ya pambano hilo ambapo "mannschaft" walitoka na ushindi wa mabao 2-1 katika kuwania nafasi ya kucheza euro 2012.
mabao ya Ujerumani yalifungwa na Mario gomez x 2 na lile la Ausria lilifungwa na Friedrich mlinzi wa Ujerumani katika jitihada za kuokoa krosi iliyochongwa ni chipukizi mkali Alaba wa Ausria aliekuwa akiichezea Beyern Munchen na sasa kuhamia hoffenheim pia ya Ujerumani baada ya kunyanyasa capteni wa Ujerumani Lahm kabla ya kutia krosi hio.
Katika matokeo mengine ya michuano hio,
Mechi kali kati ya Belgium na Turkey ilimalizika kwa sare 1-1 katika pambano lililofanyika mjini Bruxels,
Italia 3-0 Estonia
Belarus 1-1 France
Moldova 1-4 Sweden
San Marino 0-1 Finland
Romania 3-0 Bosnia-Herzegovina
Croatia 2-1 Geogia
Faroe Island 0-2 slovenia
Liechtenstein 2-0 Lithuania
Kazakhstan 2-1 Azerbaijan.