WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 June 2011

MATOKEO YA CAN 2012.MOROCCO YAILIMA ALGERIA

Morocco inaongoza Group D baada ya jana kuichapa Algeria bila huruma algeria jumala ya mabao 4-0 katika pambano lililofanyika katika mjini Marrakesh-Morocco.
Katika pambano hilo kali Morocco ilitundika mabao yake kupitia kwa Benatia,Marouane Chamakh,Yousouf Hadji,na Oussama assaidi yalitosho kuwapeleka "simba wa Atlas" juu ya kundi D ambapo sasa wana Point 7,leo Tanzania "Stars" watachuana na Afrika ya kati katika pambano litachezwa nchini afrika ya kati.
Matokeo mengine ya michuano hio ya Can 2012 ni kama hivi.
Cameroon 0-0 Senegal
Namibia 1-4 Bukina Faso
Sierra Leone 1-0 Niger
Uganda 2-0 Guinea Bissau
Zambia 3-0 Mozambique.