WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 June 2011

MATOKEO YA LIGI BRASIL

Timu kali ya Fluminense au kama inavyojuilikana nchini Brasil "FLU" jana iliutumia vizuri uwanja wa nyumbani katika pambano la ligi la Serie A ya Brasil kwa kuifunga timu ngumu ua Cruizeiro mabao 2-1.
katika pambano hilo kali mabao ya Flu yalifungwa na Moura x2 huku bao la Cruzeiro lilifungwa na Ramon.
Katika mapambano mengine ya ligi hio Palmeiras iliifunga Etletico-PR bao 1-0
Ciara iliwakaba koo wakali wengine wa Brasil Botafogo kwa sare ya 2-2,
Figueirense 2-0 Goianense.

Matokeo ya Ligi Argentina.
Katika matokeo ya ligi ya Argentina timu ya Newell's Old Boys timu ya zamani ya nyota wa F.c Barcelona Messi ilitoka sare 0-0 dhidi ya San Lorenso.