WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 2 June 2011

NIGERIA YAICHABANGA ARGENTINA

Timu ya Taifa ya Nigeria "super eagle"imeitwanga bila huruma timu ya Taifa ya Argentina kwa jumla ya mabao 4-1 katika pambano la kirafiki lililofanyika katika uwanja Abuja National Stadium nchini Nigeria.

Katika pambano hilo mabao ya nigeria yalifungwa na Uche x2 katika dakika za 9',na 39',Obina katika ya 27' bao alilolifunga kwa njia ya penalti na Emenike katika dakika ya 52'.
Bao pekee la Argentina lilifungwa kwa njia ya penalti na Bosseli katika dakika ya 90'.