WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 15 June 2011

NYOTA WA O.F.A WAFANYA MAUAJI COPA COCA COLA.

Nyota wa Oranje Football Academy ambao wanauwakilisha mkoa wa mjini Magharibi katika michuano ya copa Coca cola iliyoanza mjini Dar Es Salaam wamefanya mauaji makubwa baada ya mshambuliaji wake hatari Yunuss Benard kutundika mabao 4 kati ya 8 ambayo mkoa wa mjini Magharibi imeinyanyasa mkoa wa kusini Pemba.
Kiungo mkali wa Oranje Football Academy Mudathir Yahya alipachika bao moja huku nyota hao wa O.F.A wakipachika mabao 5 kati ya 8 na kusaidia usindi monono kwa Mkoa wa Mjini Magharibi
Mshambuliaji Yunuss Bernard aliondoka na mpira "baada ya kuvuuka idadi ya hat trick"ambayo ingelitosha kuondoka na mpira kiwanjani kama mfungaji bora wa mechi.
kwaniaba ya Oranje Football Academy inawapongeza nyota wake ktk mechi hio na kuwatakia wazidi kufanya vizuri katika mapambano yatakayofatia.