WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 13 June 2011

ORANJE FOOTBALL ACADEMY 0-0 SHANGANI

Oranje football academy U20 jana ilitoka sare bila kufungana na timu ya shangani katika pambano gumu la ligi ya inayoendelea.
katika pambano hilo timu zote mbili zilikosa nafasi za wazi za kuweza kutoka uwanja na ushindi lakini hadi mwisho matokeo yalikuwa 0-0.

katika hali ya kusikitisha wiki iliyopita wezi walivunja na kuiba vifaa kadhaa katika ofisi ya Oranje football academy ambapo kati ya vifaa walivyoiba ni pamoja na Computa,feni,pamoja na vifaa vingine vidogo vidogo vya ofisi hio.
Hata Hivyo kutokana na maendeleo ya chipukizi hao wa O.F.A yanavyokua kila siku tayari ametokea mfadhili ambae ameweza kukipatia kituo hicho computa mpya pamoja na matengenezo mengine katika ofisi hio ambapo sasa itaonekena katika hali bora zaidi kulikoni ilivyokuwa.