WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 14 June 2011

RUUD GULLIT ATIMULIWA TERIK GROZNY

Ruud Gullit amefukuzwa kufundisha timu ya Terik Grozny ya Chechnya inayocheza ligi kuu ya Russia baada ya leo kufungwa bao 1-0 dhidi ya Amkar Perm.

Mechi ya leo ilikuwa ya mwisho kwa ruud Gullit baada kupewa tahadhari mwenendo wa timu yake na leo alipewa nafasi yake ya mwisho kama timu itaweza kufanya vizuri lakini kama timu hio ikifungwa basi ingelikuwa mechi yake ya mwisho ambapo hadi mwisho wa pambano hilo Ruud Gullit alishindwa kuibadilisha timu hio ambayo inashikilia nafasi ya 14 ya ligi hio kati ya timu 16.