WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Wednesday, 1 June 2011

SCHOLES PIA AACHIA NGAZI

Kiungo wa Mzoefu wa timu ya Manchester United Paul Scholes Jana aliachia ngazi rasmi ya soka baada ya kuitumikia klabu hio kwa umri wake wote.
Scholes ameichezea klabu hio jumla ya mechi 676,kutwaa makombe 10 ya ubingwa wa uingereza,champions league na Fa cup pamoja na makombe mengine na zawadi mbalimbali.
Kiungo huyo anatarajiwa kucheza pambano maalum la kuwaaga wachezaji wenzake,viongozi na mashabiki wa Manchester United mwezi wa nane tarehe ambayo itatolewa hapo baadae.