WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday 5 June 2011

SPAIN YAINYANYASA U.S.A NYUMBANI,BRASIL-HOLLAND 0-0

Mabingwa wa soka duniani Spain imechapa bila huruma U.s.a jumla ya mabao 4-0 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyofanyika uwanja wa gillette nchini Marekani.
katika mechi hio mabao ya Spain yalifungwa na Cazorla x2,Negredo na Fernando Tores.

Katika pambano jingine kali la kimataifa kati ya Brasil na Holland lilimalizika kwa suluhu 0-0 pambano lililofanyika nchini Brasil,
katika pambano hilo ambalo lilikuwa sawa kumiliki mipira katika vipindi vyote Brasil ilipata nafasi zaidi za wazi kutoka na ushindi katika pambano hilo ambapo nyota mkali mwenye jina na kipaji kikubwa na ufundi wa hali juu kuliko wote katika safu ya ushambuliaji kwa sasa Neymay anaechezea klabu ya Santos ya Brasil aliweza kupoteza nafasi zaidi ya 4 za kupachika bao ambao kipa alieanza golini kwa mara ya kwanza katika timu ya Taifa ya Holland alionyesha uwezo mkubwa wa kuzuwia mipira hio ya nguvu iliyokuwa ikienda wavuni,Holland ilipoteza nafasi kadhaa za kuibuka na ushindi ambapo nafasi mbili kubwa zilikuwa za Ibrahim afellay anaechezea klabu ya Barcelon ya Spain kupiga michomo miwili mikali ya chini ambayo ilimfanya kipa wa Brasil Julio Cesar kuchupa na kunyoosha mikono yake hadi mwisho na kuokoa michomo hio
mwisho wa pambano hilo Brasil 0-0 Holland.

Poland 2-1 Argentina.