WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 June 2011

U16 YATOLEWA KOMBE LA MTOANO

Oranje Football academy U16 jana ilitolewa katika michuano ya kombe la Mtoano baada ya kufungwa bao 1-0 na shangani katika pambano kali na la kusisimua.
katika pambano hilo ambalo vijana wa U16 walipoteza nafasi za kushinda hivyo kuigharimu kuyaaga mashindano hayo ya msimu huu 2011.

U20 leo watakuwa katika uwanja wa Mao tse tung saa 08:00 mchana kupambana na timu ya Nyota ya Mwambao pambano la fainali ya siku ya Mazingira duniani.
Katika pambano hilo mgeni rasmi atakuwa ni Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif sharif Hamad.