WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Thursday, 2 June 2011

U20 YATINGA FAINALI KOMBE LA MAZINGIRA

Vijana wa Oranje Football Academy U20 wameingia fainali ya Kombe la Mazingira baada ya kuifunga timu ya Sporting mabao 2-1 katika mechi ya Nusu Fainali.
katika mechi hio ya leo mabao ya O.F.A yaliwekwa wavuni na Ahmed Sadala na Nassir Issa.

Wakati huohuo Nyota wanne wa O.F.A wanatarajiwa kuondoka tarehe 07-06-2011 na timu ya Mkoa wa mjini Magharibi kushiriki katika mashindano ya Copa Coca Cola yatakayofanyia Dar Es Salaam.

Nyota hao ni Kepten Mudathir Yahya,Muhene Majid,Yunus Benard,na mlinda mlango mkali Abdalla Suleiman.