WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Sunday, 5 June 2011

U20 YATWAA KOMBE LA MAZINGIRA NA 500,000

Oranje Football Academy U20 leo imetwaa Ubingwa wa kombe la siku ya Mazingira Duniani baada ya kuifunga timu ya Nyota ya Mwambao jumla ya mabao 3-0 katika pambano la Fainali lililochezwa katika kiwanja Cha Mao Tse Tung.
Katika pambano hilo Vijana wa U20 walionyesha soka safi na kuweza kujipatia mabao yake kupitia kwa mshambuliaji wake hatari Seif Abdalla"karihe" aliepachika mabao mawili na Nassir Moh'd bao moja.
Mgeni rasmi wa Pambano hilo Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo wa Zanzibar Abdillah Jihad Hassan alikabidhi kombe kwa vijana wa U20 na zawadi ya Ushindi wa Kwanza Tsh 500,000.
Awali Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alikuwa ahudhurie Fainali hio ambapo ilishindikana kutokana na kutengwa na kazi nyingi hivyo Waziri wa Michezo aliwakilisha kuweza kuwa mgeni rasmi wa pambano hilo,
kwaniaba ya uongozi wa O.F.A inatoa pongezi kwa vijana wa U20 kwa kutwaa ubingwa huo.