WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Tuesday, 19 May 2009

KAMA KAWAIDA YAO KUTINGISHA NYAVU ZA WAPINZANI

mfungaji hatari wa O.F.A ambae hupachika mabao kila anapokutana na timu pinzani (pichani kulia)akisherekea moja ya bao lake alilofunga baada ya kumrambisha mchanga kipa wa upinzani na kufunga bao safi, wachezaji vijana kama hawa ambao wanauchu wa kufunga magoli tokea ktk umri mdogo ni hazina kubwa kwa taifa kama wataweza kuendelezwa vizuri ambapo wataweza kulisaidia taifa letu hapo baadae na kumaliza tatizo sugu la ufungaji
-------------------------------------------------------------------------------------------------