WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 8 May 2009

KITUO CHENYE VIJANA WENYE VIPAJI VYA SOKA NCHINI

KIJANA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY AKIONYESHA JINSI YA KUMILIKI MPIRA KWA KICHWA NI MMOJA KATIKA VIJANA WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU KATIKA ACADEMY YA ORANJE
VIJANA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA KATIKA MAZOEZI KATIKA VIWANJA VYA MNAZI MMOJA ZANZIBAR PICHANI CHINI
ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA MAZOEZINI WAKIJITAYARISHA NA LIGI KWA VIJANA WENYE UMRI WA U17 MSIMU WA 2009/10

MOJA YA ACADEMY ZILIZO NA VIJANA WENYE VIPAJI VYA HALI YA JUU NCHINI

ORANJE FOOTBALL ACADEMY WAKIWA KATIKA MAZOEZI VIWANJA VYA MNAZI MMOJA

VIJANA WA ORANJE WAKIWA KATIKA MAZOEZI VIWANJA VYA NJE VYA MAO TSE TUNG
MMOJA KATIKA WACHEZAJI WENYE VIPAJI VYA HALI JUU KATIKA ACADEMY YA ORANJE KAMA ANAVYOONEKANA KATIKA GAZETI HAPO CHINI

KITUO CHA KUKUZA VIPAJI VYA SOKA NCHINI ORANJE FOOTBALL ACADEMY

KATIKA MOJA YA HARAKATI ZA MAENDELEO INAHITAJIA MISAADA MAMBAYO

ITAWAWESHE KUJIJENGEA MAZINGIRA MAZURI YA MAENDELEO KAMA GAZETI KULIA LINAVYOONEKANA
KUSHOTO MOJA YA MATOKEO

YA MECHI ZA LIGI U17 2009/10

AMBAPO WAMEWEZA KUFANYA

VIZURI KATIKA MECHI ZAO

AMBAPO LIGI INAENDELEA

ORANJE FOOTBALL ACADEMY


INAKUKARIBISHA KUTOA MCHANGO WAKO WA KIMAENDELEO YA SOKA HAPA NCHINI,


KWALENGO LA KUWAFIKISHA VIJANA WETU KATIKA HADHI YA KIMATAIFA