mmoja katika nyota wa o.f.a akionyesha ufundi wake wa kumiliki mpira na kuvua t-shirt bila ya kuangusha na baadae kuivaa tena huku akiwa ameumiliki mpira na kuufanya vile anavyotaka-------------------------------------------------------------------------------------------------