WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 30 May 2009

BAADA YA KUTWAA BONANZA CUP O.F.A YAELEKEZA MACHO KATIKA UBINGWA WA U17

waandaaji wa Bonanza cup pamoja na wasimamizi wa mashindano na viongozi mbali mbali wa michezo akiwemo katibu mkuu wa z.f.a Mzee zam Ali (wakwanza kulia)wakangalia fainali ya Bonanza cup kati ya Oranje Football Academy na Shangani f.c, katika mechi hio ya fainali O.F.A iliweza kutwaa Bonanza cup baada ya kuisambaratisha Shangani f.c kwa mabao 3-0 katika mchezo uliokuwa wakuvutia na upinzani mkubwa,Bonanza cup ilidhaminiwa na Zanzibar Explore pamoja na ZanAir.
Hivi sasa o.f.a wako katika hatua nzuri ya kutwaa ubingwa wa U17,kama wakifanikiwa kutwaa ubingwa wa U17 itakuwa ni ubingwa wa pili kwa mwaka huu,
------------------------------------------------------------------------------------------------