vijana wa oranje football academy ni kawaida yao kuhakikisha kila siku wachezaji wote wanapata mazoezi ya kutosha ya kumiliki mipira kwani hii ndio basic ya soka popoteulimwenguni
-------------------------------------------------------------------------------------------------