WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Saturday, 9 May 2009

WAPENZI WA SOKA WAKIANGALIA FAINALI KATI YA O.F.A/SHANGANI


baadhi ya wadau wa soka wakiangalia mashindano ya soka ya vijana ya kombe la Bonanza
yaliyofanyika hivi karibuni ktk viwanja vya mnazi mmoja zanzibar ambapo Oranje Football Academy waliweza kuibuka Bingwa wa Mashindano hayo baada ya kibamiza Shangani jumla ya magoli 3-0 katika mchezo wa Fainali ambao mgeni rasmi alikuwa ni naibu waziri kiongozi na waziri wa michezo wa Zanzibar mh Ali Juma Shamhuna ambpo mbali ya kombe la ubingwa aliwakabidhi oranje football academy kitita cha tsh 200,000 kwa kuibuka kuwa bingwa wa Bonanza cup
------------------------------------------------------------------------------------------------