Captain wa Oranje Football Academy(Jezi-blue)akikagua kadi za wachezaji wa F.C Arizona kabla ya mechi yao ya Youth U17 play-off iliyofanyika jumanne hii na O.F.A kuendea na ushindi wa Bao 3-0-------------------------------------------------------------------------------------------------