
iliyotoka leo,ambapo ipo katika nafasi ya 109 kutoka katika nafasi ya 104 iliyokuwa, hii haiko katika hesabu ya mechi ya leo kati yake na All Whites, kama ikishinda mechi ya leo inaweza kupanda kiwango ambacho kitatangazwa na Fifa tarehe 01-july-09,
katika Fifa World Ranking iliyotangazwa leo Espanha inaendelea kuwa Bora Duniani,ikifatiwa na
(2) Holland, (3) Germany, (4)italy,
(5)Brasil, (6)England, (7)Argentina, (8)Croatia, (9)Russia, (10)France
-------------------------------------------------------------------------------------------------