WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Friday, 14 August 2009

TRT TV INTERNATIONAL KUTOKA TURKEY KATIKA MATAYARISHO YA PROGRAME NA VIJANA WA ORANJE FOOTBALL ACADEMY (O.F.A)

CHIPUKIZI WA O.F.A WAKIWA KATIKA MAZOEZI KWENYE UFUKWE WA MAISARA NI PROGRAMME MAALUM AMBAYO TV KUTOKA TURKEY TRT INTERNATIONAL IKIWA NI SIKU YA PILI YA KUKAMILISHA KIPINDI HICHO KITAKACHORUSHWA KATIKA NCHI ZA BARA LA ULAYA KADHALIKA KUONEKANWA SEHEMU ZA MABARA MENGINE KWA LENGO LA KUITANGAZA TANZANIA KATIKA RAMANI YA SOKA LA VIJANA VILEVILE KUITANGAZA O.F.A,PROGRAMME HII ITAKAPOKUWA TAYARI ITAWEZA PIA KUONEKANA KATIKA TV ZA HAPA NCHINI

Mudathir Yahya katikati akiwa na Coach Hassan Haji kulia ambae ni mmoja katika walimu wazuri wa soka nchini akiangalia chipukizi wake kwa uangalifu,Coach Hassan ni mwalimu wa wachezaji wakali wa Taifa Stars akina Nadir Haroub "Canavaro" na Abdi Kassim "Babi" walipokuwa na umri kama huu wa vijana hawa wa O.F.A,mbali na wachezaji hao nyota wengi waliowahi kuwika na wanaoendelea kuwika hatika timu ya taifa ya Zanzibar pamoja na wachezaji mbali mbali wa timu za primier league ni matunda ya Coach Hassan Haji ambae ni mmoja kati ya walimu wenye vipaji vya hali ya juu kwa soka la vijana,coach Hassan ni mmoja wa walimu wa vijana wa Oranje Football Academy
-------------------------
Mwandishi wa habari camera man kutoka Turkey akiwa kazini na vijana wa O.F.A

Coach Ramadhan Madundo wa O.F.A akiwa kazini katika mazoezi ya vijana wake ambapo anasifika sana kwa kufundisha soka ya kileo kwa vijana,ni mmoja wa makocha adimu nchini kwa kuinua viwango vya soka kwa vijana,kupitia kwa coach Madundo vijana wengi wameweza kuchaguliwa katika timu mbali mbali za Taifa za Zanzibar pamoja na vilabu mbali mbali vya ligi kuu.Coach Hassan Haji akiwapa maelekezo vijana wake


Yussuf Abdalla
Wakwanza kulia Yussuf Abdalla,Idarous Khamis,Nassor Said,Salum Rashid na Mohd Omar
Kulia Nassor Said,Mohd Omar katikati na salum Rashid kushoto
Nassor Said kushoto,Haji Suluhu,Rashid Maulid , kulia ni Ali Haji
kutoka kushoto Yussuf Abdalla,idarous Khamis, (kulia )Nassor Said
Mohd Omar
Coach Ramadhan Madundo akiwaelekeza vijana wake wa Oranje Football Academy
Ali Hilal
Nassor Said
Muhene Majid katikati akiwa na mpira mkononi

waandishi wa habari wa TV TRT INTERNATIONAL kutoka Turkey wakichukua Programme na vijana wa Oranje Football Academy katika siku ya mwanzo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja kabla ya kukamilisha siku ya pili katika Ufukwe wa Bahari ya Hindi uliopo Maisara.-------------------------------------------------------------------------------------------------