WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

WELCOME "KARIBU" TO ORANGE FOOTBALL ACADEMY ZANZIBAR

.

.

.

.

.

.

MUDATHIR YAHYA

MUDATHIR YAHYA

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

SEIF ABDALLA "karihe"

SEIF ABDALLA "karihe"

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

www.ofaznz.net

Total Pageviews

Monday, 26 October 2009

RIVALDO KATIKA MECHI YAKE YA KWANZA YA LIGI

NYOTA WA KIMATAIFA KUTOKA MOZAMBIQUE RIVALDO AMEANZA RASMI KUITUMIKIA KLABU YAKE YA BANGOR F.C YA MJINI BELFAST NCHINI NOTHERN IRELAND JUMAMOSI ILIYOPITA BAADA YA KUPATA RASMI WORK PERMIT KUTOKA KATIKA CHAMA CHA SOKA CHA NOTHERN IRELAND NA KUKAMILISHA USAJILI SIKU HIO YA JUMAMOSI ASAUBUHI.
NYOTA HUYO MWENYE UMRI WA MIAKA 19 AMBAE AMEPEWA NAFASI YA KWENDA KUSAKATA SOKA YA KULIPWA NA KITUO CHA KUKUZA SOKA KWA VIJANA CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY AMEWEZA KUNGÁRA SANA KILA MECHI ALIYOCHEZA NA AMEWEZA KUPACHIKA MABAO 4 KATIKA MECHI 4 ALIZOCHEZA ZA MAJARIBIO.
AKIONGEA NA WEB BLOG HII YA ORANJE FOOTBALL ACADEMY KUTOKA BELFAST MANAGER WA TIMU YA BANGOR F.C COLLIN McCURDY AMEMWAGIA SIFA SANA CHIPUKIZI HUYO NA ANATARAJIA HIVI KARIBUNIKUPATIWA NYOTA WENGINE WA KIMATAIFA PAMOJA NA CHIPUKIZI KATIKA KIKOSI CHA ORANJE FOOTBALL ACADEMY.
Kwaniaba ya Oranje Football Academy inatoa pongezi kwa Rivaldo kwa kuitumia vizuri nafasi aliyopewa na vijana hao wa O.F.A na kuwa amefungua ukurasa mzuri kwa kituo hicho,na tunatarajia wote watakaopata nafasi kutoka katika kituo hicho wataweza kuzitumia vizuri na kufata nyayo za Rivaldo.
.........................................................................................................................................................................
........................................................................................................................................................................